Ishara za Swype |
Ishara za Swype ni njia za mkato kwenye kibodi za kukamilisha kazi za kawaida kwa haraka.
Kipengele hiki hakipatikani wakati huduma ya ufikiaji mfumo wa Explore-by-Touch imewashwa.
Kufikia kibodi ya Hariri, Swype kuanzia %SWKEICON% hadi kwenye kitufe cha Alama (?123) kwenye kibodi.
Ili kufikia Kibodi ya namba kwa haraka, Swype kuanzia hadi nambari 5.
Ili kuficha kwa urahisi kibodi, Swype tu kuanzia kitufe cha Swype hadi kitufe cha Nafasinyuma.
Finyaza nafasi kiotomatiki kabla ya neno lifuatalo kwa Kupitisha kuanzia kitufe cha Nafasi hadi kwenye kitufe cha Nafasinyuma.
Badilisha ukubwa wa neno baada ya kuliingiza kwa kugonga neno na kisha kupitisha kuanzia hadi kwenye kitufe cha Shift
. Orodha ya Chaguo za Maneno zenye chaguo za utumizi wa herufi kubwa itaonekana, inayokuruhusu kuchagua herufi ndogo, kubwa au HERUFI ZOTE KUBWA.
Njia rahisi ya kuingiza vituo ni kupitisha kuanzia alama ya swali, koma, nukta, au vituo vingine kwenye kitufe cha Nafasi badala ya kuigonga.
Ramani za Google: Pitisha kuanzia hadi 'g; kisha 'm'